Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kuuliza zipi sababu zilipelekea kuanguka dola ya kiislam
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 711
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali lang naomba kujuwa kufanya biashara ya play station au Games je naingia kwny haramu.
Mimi ni mwanaume na ninamiaka 32 naomba kujua maneno ya kikao cha tahyatu
Jee tunaweza kuangalia wasia anoacha mgonjwa mahututi aliouacha
Naomba kujuwa Masharti 5 ya vazi la kiislam
A'alaykum, Nilioa mke wa pili baadae nikija kumjurisha mke wangu wa kwanza, yeye ajafanya maamuzi ya kuondoka huu mwaka wa 6 sasa na sijampa talaka, hapo kuna ndoa tena?
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?