Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Natokwa na usaha kwenye uume
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 913
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habar doctor mimi ninatumia dawa za pressure 2 years sasa lakn 2023 hii moyo unanienda mbio natembea kidogo tu lakn moyo unanienda ressi sana had nipumzkeee ndo nakaa sawa hata kushuka kitandan kwenda choon naskia hivyo nawa kma mtu aliyekimbia sana had nipumzke ndo nakuwa sawa naomba unisaidie
Je? Ikiwa n ujauzito matone ya dam hutoka kwa siku ngap?
Na wiki 36 ya ujauzito ila nasiku kama tano hivi na halisha na tumbo kuuma je niuchungu
Dkta habari mimi nasumbuliwa natumbo kulia na kushoto nauwo upande wakulia ndo umezidi mana unachoma mpk nyuma ya mgongo hasa uck nikilala shida nn
maana kuna ugonjwa unanisumbua katika uke wangu kutokwana uchafu jee akua niyeye kaniambukiza au ni nini?
Hllo hamjambo mmi natumia dawa za prep na nimeanza kuzitumia jana 00:00 lkn leo sku ya pili nimelala baada ya kuamka nimepitisha dakika nikanywa 00:58 kesho nafaa ninywe muda gani tafadhali maana nimechelewa kwa dakika tafadhali nishauri