SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #11 24-01-2023 17:39:29
Question Icon

Nawashwa sana sehem za siri  pia napata maumiz sana wakat wa tendo had napomalza kwenda haja nlpta kwenye page yenu ndo nmeona kwamba n dalili za fungus

 

Hata mzunguko wangu haujulkan n wa sku ngp yan hata hazkai mpanglio mzur

 

Na hapo nikimaliza period huwa naamin kwamba nabanwa na pad yn huwa nawashwa had natumiaga maji ya vuguvugu ndo kdg naacha kujkuna

 

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 11

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi