Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni njia gani bora ya kuzuia magonjwa ya zinaa?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Dokta mm tumbo langu laniuma mda mwengine nikimaliza kula ama nikimaliza kwenda haja kubwa nkikaa na njaa yani huniuma lote naomba sulution
Je kuwa namabaka mekund kwenye mdomo ni dalili mojawapo ya ukimwi
Ni siku ya tatu Leo Kila nikikojoa, mwishoni damu inatoka kwa nini?
Leo Ni siku ya pili nimeamka kiuno kinauma he Ni kawaida kwa mjamzito kiuno kuuma au na lenyewe Ni tatizo
Hello nina tatizo usiku sifurahiii usingiz coz najaliwa na matee mengi
Naumwaa tumbo Leo siku ya nne na mdomo ni mchungu na mkojo wa njano je inaweza kuwa dalili ya mimba