Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni mkojo tu unauma na nikimaliza kidamu kidogo kinatoka ni mkojo tu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 649
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Lkn Kwan mwanamke mjamzito kwa wiki moja ni kawaida kuharisha mapovu na makohoz like na maumivu ya mgongo kwa chini kama kuwaka moto
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn
Niko na ujauzito miez 3 ,nasumbuliwa na fungus sijui italeta madhara Kwa mtoto ,pia nimetumia dawa Sion mabadiliko
Sorry nlikua naomba kuuliza kuharisha kinyesi cheusi inaweza kusababishwa na nn
Maumivu ya kiuno na tumbo la chini kwa mjamzito husababishwa na nini?
Swali lingine mbona mwanamke anaweza kuwa hamefunga bridi na umri mkubwa hata miaka 50 baadaye anabeba mimba hiyo hinakuaje