SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #73 30-01-2023 04:15:46
Question Icon

ninasumbuliwa sana na upungufu wa vitamin c tangu mwaka 2022 pia napatwa na vidonda mdomoni mara kwa mara vinachukua mda mrefu kupona je nitumie dozi gani na kwa mda gani

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 73

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi