Pata jibu kamili kuhusu swali lako
samahan et, kutokwa na upele (ukurutu) nayo nimojawapo ya ugonjwa wa ukimwi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 202
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hai jaman minashida yani nateseka fangas uken vidonda kwenye mashavu afu vinawasha nitumie dawa gan
Kuna wanawake hutoka maji wakati wa tendo la ndoa hiyo inatokana na nini
Mm nina swali nina skia sehemu ya matiti kama vile kichomi maka vitu vina tembea tembea sijui nini na nime pima mimba kama mala mbili sina sasa shida nini yani nina kosa laa Chuchu azi umi lakini nina skia kama vitu vina tembea tembea kwenye matiti ni saidie
Mapele yamekuw yakinitokea san na kuwashwa cjaelew hii kitu inakuwaje..naomba unipe jibu🙏🙏🙏
Nilipata ajali nanilikuwa nimefungiwa cheni zakushikilia taya sasa zimetolewa lakini changamoto meno maumivu makali sana
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?