Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninatokewa na vijiupele kwenye kichwa cha mboo Kuna dawa nilipewa ya kupaka ila vinapotea na kurudi
Kutokwa na vipele ni dalili ya mashambulizi ya bakteria. Tofauti na kutumia dawa za fangasi za kupaka ulitakiwa kutumia antibiotics kwa ajili ya kupambana na bakteria.
Jambo la kufanya onana na daktari akufanyie uchunguzi tofauti na kwenda duka la dawa.