Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninawashwa sana sehemu za mapaja naweza tumia dawa ganii
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 83
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kutokwa na majimaji sehemu za siri ni dalili za nn
Sorry lkn mm sikuyahatari ilii kuwa tarehe 15 lkn nikalala na mwanaume tarehe 16 lakini mwanaume hakuweza kuingiza uume wake aka mwagia nje je Kuna uwezekano wa kupata mimba
Samahani ninatatizo la moyo kwenda mbio hasa nyakati za asubuhi nikiwa naamka alafu nikitembea kidogo tu nachoka,je tatizo Hili husababishwa na nini?
Habari vipi unaweza kupata siku zako na ukawa na ujauzito kwa wiki za mwanzo kabla hata haujafika mwezi
me niliwahi kukutana na msichana wiki kama tatu hiv zilizopita sasa baada ya hapo nikawa na wasiwasi coz nasikia mwili unawasha mara kwa mara sijajua shida ni nini labda waweza jua shida ni nn?
Habari ya saa,Naomba kujua mke wngu ana mimba ya mwezi mmoja sasa ila akivua chupi yake huwa na ute ulio changanyik na damu kiasi ,hii ni dalili gan naomba msaada