Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nisaidie dalili za ukimwi baada kuupata after 1 weak
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 533
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Daktar kuna kingine kamaa malengee lengee nmkiinqa leo asubh kwa pemben kwa juu ilaa kimevimbaa Wakt was kukaa kinavutaa na kusimama...
Shida yangu mikono inalegea na kukosa nguvu pia kufa ganzi na halafu miguu pia inakosa nguvu na maumivu ya mwili wote hasa kifuani
Samahani mimi nasumbuliwa na kichwa hasa Nikiwa na mawazo, nakosa hamu ya kula , nahisi baridi samahani zinaweza kuwa dalili za nini
Na kukojoa mkojo utoki araka na unajiskia uko na mkojo inawesa kuwa mtu ako na mimba!?
Samahan kwa usumbuf naomba ushauri wenu mimi nina ujauzito wa wiki 37 ila tumbo linaniuma kiuno kinauma natapika maji machungu chuchu zinauma kwenye magoti na kwenye uti wa mgongo naomba ushauri yote haya yana sababishwa na nn samahan kwa usumbuf lkn🙏🙏
Docta me nina shida nina mimba ya miez miwili natokwa damu matone matone nikaend hsptl nikapigwa ultrasound mimba ipo nikapewa dawa ila sasà damu naona matone yanaongezeka alafu ni mekundu kuna kibonge kidogo kimetok ukeni ndo mimba imetoka au mana vipimo nimefanya jana 2 Hali imebadilik kesho yake