Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Docta me nina shida nina mimba ya miez miwili natokwa damu matone matone nikaend hsptl nikapigwa ultrasound mimba ipo nikapewa dawa ila sasà damu naona matone yanaongezeka alafu ni mekundu kuna kibonge kidogo kimetok ukeni ndo mimba imetoka au mana vipimo nimefanya jana 2 Hali imebadilik kesho yake
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 343