SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1235 21-05-2023 06:09:35
Question Icon

Habari, nimeng'atwa na nyuki zaidi ya 100 lakini sijaona madhara yoyote na ni wiki sasa imepita, Jumapili 14/05/2023 hadi leo ni 19/05/2023, je, naweza pata madhara siku za baadae?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1235

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi