SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #434 21-02-2023 12:06:34
Question Icon

Serengeti lager ni kweli haina sukari kama walivyo andika?

JIBU

Kiafya alcohol sio nzurikwa mwenye kisukari bila kujali ina sukari ama laa. 

 

Pia ijapokuwa hazina sukari lakini sina glucose kwa kuwa zimetengenezwa na shayiri au ngano bado kuna tatizo. 


Hata hivyo unatakiwa kufanya uchunguzi zaidi unapotumia izo na usipotumia kuna mabadiliko gani

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi