Pata jibu kamili kuhusu swali lako
sikuhatar za kupata ujauzito kwa mwanamke nisiku gan
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 23
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ninapata maumivu kama tumbo la hedhi ila ni upande wa kushoto ,na nimaumivu makali japo ninayapata mara chache?shida sijaifahamu
Ninasumbuliw na fangas na nikatumia dawa ya mba ya maji ila tatizo likaendelea nikamwona mshauli wa afya akanipa vidong kumi na nimetumia ila bado hali niayo tyu vile vile naomba ushaulo kwako
Habar mimi nina tatizo lamifupa ilaninakunywa juice ya Bamia kila siku katakata bamia ninaliloeka kwenye Maji baada ya masa’s kumi Ni nafanya sawa au nakosea naomba muongozo
samahan mm Kuna mda naweza kua natembea mala gafla nachomwa na kitu kiunoni uku kinashuka kidogo kwenye paja apo mguu hauwezi kukanyaga Tena mpaka nisimame Kama dak 3 ndo niendelee na safal,je ilo ni tatizo gani,na linaweza badae kuleta hathar gani ktk mwili wangu na naweza kufanya nini? ili kuondoa ili tatizo.
Mapele yamekuw yakinitokea san na kuwashwa cjaelew hii kitu inakuwaje..naomba unipe jibu🙏🙏🙏
Muda gani mzuri wa kumeza dawa za arv