SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #593 03-03-2023 05:06:16
Question Icon

Swali lang mim Kila kunapo ingia usiku natokwa na vipel vidovidog mwil mzima na kukikalibia kukucha tu vipele vyote upotea kinacho bak niviungo vyang baaz kama mkon na ckunyengine mkono unaacha kuuma unafat mkuu na muda mwengine viungo haviumi vinatoka vipele tu sas cjajuah shida nin au nidalil ya nin.

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 593

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi