Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hv ukishiriki na mtu mwenye ukimwi waweza pata papo kwa papo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 787
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari samahani mm mjamzito wa wiki 36 ila sasa nmeanza kuona uke wangu umekuwa wa maji maji na kiuno kinauma sn je ni moja wap ya dalili za uchungu?
Ila nasikia maumivu ya kichwa mara kwa mara
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn
Kaka yangu ikifika mchana yaani saa sita anaanza kuona kizunguzungu ana kaa chini au sehemu ya kivuli ndoo inapoa sasa nini matibabu yake
Ninapo fanya mapenzi nitapo taka kukojoa ume unasinyaa
Lkn Kwan mwanamke mjamzito kwa wiki moja ni kawaida kuharisha mapovu na makohoz like na maumivu ya mgongo kwa chini kama kuwaka moto