Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vyakula vinavyo rhusiwa kwa mtu mwenye presha
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 810
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello samahan iv tezi dume inaweza sababishwa na ngono zembe
Ivi mtu mwenye ukimwi anaweza akatokwa na vidonda vya homa ya usiku??
Vinavytoka pembeni ya mdomo kama vipele Vile vidonda vinatoka kama unakinga mwili wanasema homa inatoka
Habar docta samahani eti kwa mfano mtu akiwa yupo kwenye dawa ya pep ya kuzuia maambukizi ya ukimwi ata ikitokea amejichoma tena kwenye mazingira atarishi pia inazuia kwasabu unakua ushameza dawa na zipo anaendelea kumeza.
Nilitumia contraception after sex baada ya twelve hours bt ninaona matone ya damu kidogo kidogo kunauwezekano nimepata mimba?
nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini kushoto wa tumbo yanayopelekea nahisi kama mmeng'enyo na kuwaka moto sana .
Vilevile Katika UKE natokwa na majimaji yenye harufu mbaya na ute wa rangi ya njano maziwa hv.
Sijajua tatizo ni Nini haswa na nawezaje kupata matibabu ya matatizo haya , nikapona kabisaa
Habari naitwa Neema ninashida mate yamekuwa na ladha nyengine na maziwa yanauma na nimepima mimba Sina