Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swali langu Mimi Nipo kwenye ofisi za mikopo nafanya kazi na izo ofisi zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Ni mwajililiwa katika ofisi za mikopo na ofisi izo zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Uislamu unatufuunfisha kuwa yupo kwenye makosa yule anayedai riba, anayetoa riba, anayepokea riba, anayeandika mikataba ya riba ama deni la riba na anayeshuhudia.
Kama upo kwenye ofisi ambayo hasa lengo lake ni kujihusisha na mikopo ya tiba, basi utakuwa kwenye makosa.
Allah anajuwa zaidi.