Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swali langu nauliza nikuwa talaka inayokubalika ni talaka zipi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 654
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nilisilim napenda Sana dini ya Islam lakini sijui hata pakuanzia
Aesalam alaykum je kur an imeshushwa kwa mudagan
Naomba kama app inaweza kunipa mawaidha ya audio niambieni Barakallahu fikum
Mimi nina mchumba wangu lakini nimezaa mtoto mmoja sasa tulikuwa tunataka tufunge ndoa kabla ya ramadan lakin ikashindika sasa je inaswihi kufunga ndoa wakati wa ramadhani
Swali langu Mimi Nipo kwenye ofisi za mikopo nafanya kazi na izo ofisi zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Ni mwajililiwa katika ofisi za mikopo na ofisi izo zina liba ndani yake je mimi nae ni miongoni mwa Wala liba
Assalamualaikum naomba kuhuliza kula kitu ambacho kimechinjwa na mtu anae kunywa pombe ni sawa