Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swali langu Tofautisha maadili kwa mtazamo wa uislamu na kitwaghuti
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 395
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam
Je Kama mtu hajawa na uwezo wakulipa hiyo zakatuli fitri swaumu yake haitopokelewa?
Je unaruhusiwa kulala na mke endapo hujaanza kukaa itiqaf ya masiku kumi haya ya mwisho? Ijapokuwa yameshafika ila cjaanza kukaa itiqafu.
Asalam alykum nataka kujua inakuwaje hukumu ya mwanamke alotoka nje ya ndoa.na mumewe kamwambia ikitoka nje ya ndoa ndo talaka yako.na akatoka nje ya ndoa.je VP hapo ndoa Bado ipo au ndo talaka tayari ishatoka km mume alivyosema?na je baada ya mwanamke huyo kule
Suali langu kwanini mwanamke anatolewa mahari?
Nina suali. Naomba msaada, amefariki mtu ameacha, (1) ndugu yake wa kike wa baba mmoja, mama mmoja.(2) watoto wa ndugu yake wa baba mmoja wanaume na wanawake na (3) watoto wa ndugu yake wa mama mmoja tu. Naomba kujuwa uridhi utakuwaje? Ahsante