Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je ni yapi masharti ya funga/saum
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 890
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Lakaa za swala yaani kwa mfano swala ya asubuhi inalaka ngapi saa Saba inalakaa ngapi saa kumi inalakaa ngapi saa mbilo usk inalakaa ngap
Habari nijins gani yakuandk talaka
Je ni Sahihi kufunga mwezi wa shaaban katika siku 15 za mwisho
Asalam aleykhum , swala za sunnah huswaliwa baada ya swala za faradh au kabla ?
Asalaam aleykum naomba kuuliza mama yake marimu anaitwa nani?
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?