Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tatizo langu ni kuchubuka kene kichwa cha uume wangu pindi nmalizapo tendo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 785
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
samahan et, kutokwa na upele (ukurutu) nayo nimojawapo ya ugonjwa wa ukimwi
Je inawezena kuwa mtoto amekufia Dani ya tumbo au nikuchoka tu amelala Kwa sababu Niko hospital na wemetafuta heart 💖 beat lakini hawasikii akipumua au kucheza
Habari samahani nilikua na swali mimi na mwenzi wangu kila tukifanya tendo baada ya kumwagia mbegu ndani na kuchomoa uume mbegu utoka nje nilikua nauliza sababu nini na je mbegu zinapo toka nje kunauwezekano wa kubeba mimba
Je ukinywa vidonge vya vitamin E unaweza kunenepa
Nina miaka 29 mi Ni mwanaume swali langu nliumwa vidonda vya tumbo soon nkatbiw lkn mdomo kweny lips zinakauka Mara kwa Mara j Inaweza kua n viashiria gan???????? Pli j unawez kusex n mtu mwathiriak hlf usipate maambukiz??
Nko na maumivu chini ya kitovu na nlipima jna bt kipimo kikasema sna mimba bt sjaona siku zangu na hua zinakam taree 3 myb mniambie shida ni nin