Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Tumbo kuuma upande wa kushoto linaweza kutibika VIP?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 455
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi baada ya kufanya mapenz na mwanamke anayesemekena ana ukimwi baada ya wiki 2 nilienda kupima na sikukutwa na maambukizi ya ukimwi lakini saivi nasikia maumivu ya misuli hasa kwenye goti la kushoto
Nina mimba sasa imefikisha miez 9 na mtoto anachezea upande mmja tu iyo nini
Dawa Kwa mtu aliyevimba baada ya kuungua na mafuta ili kutoa malenge lenge ya uvimbe
Kuna dalili naziona kama kichwa kuuma japo akiumi sana na sijiskii homa na kichwa kinauma upande mmoja wa kushoto na ni miez miwili sasa nimedate na mtu ambae simuamini je naweza kua nimepata maambukizi 😢doct
Swali languu mm nasumbuliwa na kukojoa mkojoo wanjano sio kawaida Ila Sina maumivuu yyote yanayonisumbuua
Ukimu unaweza kuonekana ndani ya siku 23 toka kuambukizwa, kwa kutumia rapid diagnostic test