Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nina mimba sasa imefikisha miez 9 na mtoto anachezea upande mmja tu iyo nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 116
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Dalili ya mimba ya siku Moja ni ngan
Asante mimi ningependa kuuliza swali kwamba nimeshiriki tendo la ndoa cku ya 12 adi siku ya 16 but mabadiliko ninayoyaona ni tumbo kujaa ges, kuchoka bila sababu, na tumbo la chini kuniuma kwa sana na leo ni siku ya 11 yani tumbo linavuta mpaka basi
Ningependa kujua iyo nayo ni dalili ya mimba changa kwangu ama
Ikiwa naanza siku za hatari nakuwa na joto sana mpaka siku za period nyingne ya mwezi ujao hii inakuwa ni nn? Maaana naweza kuhis Nina mimba lakin hatima yake naingia period hii ni tatizo?
Kutokwa maji yenye harufu na maumivu ya tumbo
Naulisa ukiwa unakunyua pombe unawesa ambukizwa ukimwi .
Je unaweza pima Vvu siku ya 30 Toka umejamian na husiyemwamin na kipimo kisitoe majib sahihi?