Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Umri wng 24 me nilikuwa nataka unifahamishe jinsi ya kutumia kipimo cha upt
Angalia video hii
https://youtu.be/8xrGwloF17A
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ni mjazito siku zangu zimekaribia za kujifungua na Niko na shida za saa nyengine ya pumzi shida ni nini
Me nataka kujua wakati wa kutoa shahada unatamka maneno gani
Habari ya saizi,nimesoma vizr ujumbe wenu nanimeuelewa lkn mm naona dalili ya ukurutu mwilin mwangu ambao cjawah kupata toka nazaliwa yni na niliwahi kuwa napunye miaka minne iliyopita nimetumia kila dawa punye cjapona je punye Hilo inaweza ikawa dalili ya vvu?
Mfano kama n wiki ya tatu hii saaa alafu nina vipele kwenye uso na maumivu ya mwili mara moja moja yanatokea maumivu je hio n yenyewe dalili ya ukimwi
chango husababishwa na nini....?na tena kuna dawa yake?
Je ninaweza kuzuia maambukizi siku moja baada ya tendo na alieathirika??