Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Umuhim wa historia ya maimam wa fiqhi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 482
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Às/alaikum.naomba kuuliza kupagiwa formula ya mgao wa mirathi..marehem kaacha mil 18 kaacha watoto wa kiume 5 na wa kike 6
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Jee inafaa kwa mtu mwenye madeni kutoa zakatu fitri?
Asalam alaykum vipi hàli aujambo mimi nimekuwa na aswali juu ya kuhusu kuswali nataka kujua pale kwenye hatahiyatu ya kwanza na ya pili panaanicabganya san
Nilisilim napenda Sana dini ya Islam lakini sijui hata pakuanzia
Aww ninaweza kupata clips za namna ya kuswali swala vita, namna ya kuosha maiti
asalam aleykum samah naomba kuuliza,endapo nimemkuta imamu anaswalisha ile nimefika tu akarukuu na mimi nikarukuu je nitaesabika niko nae sawa kama ni swala ya adhuhuri.