Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Za jioni mimba ya wiki 3 ikitoka inakuaje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 941
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba kuuliza je kwa mtyu mwenye mzunguko wa siku 28 akishiriki tendo la ndoa cku ya kumi kutoka cku ya kuanza mp mfano mp nmeanza trh 6 then nkafanya mapenz trh 15 je napata ujauzito
je inaweza kutokezea tumbo kuja juu upande mmoja t halafu kurudi ukawaida ndani ya wiki 1 vip inaweza kutokea au huwa ges yatumbo t
Sijaona siku Zang za mzunguko mwez wa 3 sas je nitumie virutubisho gan ili kuwa sawa??
Nina mtoto mmoja ana umr wa miaka kumi Sasa toka hp nikaja kupata mimba ikatoka hd Sasa Kila nikijaribu kutafuta mtoto mwingne imeshindikana
Kama mtu mzunguko wako wa kawaida .naukafanya tendo la ndoa ukiwa kwenye hedhi utapata mimba?
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili