MATATIZO KATIKA HARD DISK


image


Posti hii inakwenda kukupa baadhi ya matatizo katika hard disk


MATATIZO KATIKA HARD DISK:Hard disk ni kifaa cha kuhifadhia kumbukumbu katika kompyuta. Pia ijulikane kuwa window tunazozitumia huwa zinahifadhiwa katika hard disk. hivyo tatizo lolote litalotokea katika hard disk linaweza kuathiri mfumo mzima wa utendaji wa kazi wa kifaa chako.kikawaida hard disk ikiwa na matatizo inazungunza yenyewe kwa kukuletea warning yaan onyo kuwa hard disk yako inamatatizo hivyo ubackup data zako ili zisije kupotea pindi ikiharibika kabisa. Pia tutambuwe kuwa itapoharibika hard disk hakuna na,na ya kuzipata data zilizokuwa mule hivyo kila ambacho kimo kitapotea.jambo la msingi hapa nji kuwahi kubadili hard disk yako. pia pindi ukipata onyo hilo uwahi kuzihamisha data zako kwenda sehemu salama zaidi. Muone fundi wa hard ware akubadilishie hard disk yako kama inakupa warning. Kitu cha msingi hapa ni kuhakikisha unanunuwa disk mpya kutoka dukani kwani za kunu nua kwa watu kuenda ikawa na matatizo pia.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Njia rahisi ya kudownload video YouTube
Posti hii inakwenda kukuelekeza kuhusu njia rahisi ya kudownload video YouTube Soma Zaidi...

image Kama simu a computer yako inastack
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kufanya endapo simu yako au computer itastack Soma Zaidi...

image WIKIBONGO NI NINI?.
Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo". Soma Zaidi...

image Mbu (mosquito)
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mdudu mbu Soma Zaidi...

image Njia za kujilinda na malware
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware Soma Zaidi...

image TUNAKUTAKIENI RANADHANI MUBARAKA
Wikibongo inawatakia waislamu wote heri ya mfungo wa ramadhaji Soma Zaidi...

image Epuka malware (virus,work)ukiwa mtandaoni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuepuka malware ukiwa mtandaoni Soma Zaidi...

image CONTACT US
Soma Zaidi...

image Sababu za simu kusumbua mtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sabau za simu kusumbua mtandao Soma Zaidi...

image Cheetah
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama cheetah Soma Zaidi...