MATENDO YA HIJJAH NA UMRAH


image


Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Matendo ya Hija na Umrah.
  1. Ihram na Nia ya Hija na Umrah.

-    Ihram huvaliwa nyumbani au katika vituo (miiqaat) vya kunuia Hija na Umrah.

-    Nia ya Hija na Umrah hufanyika katika miiqaat baada ya kuswali rakaa mbili.

    Rejea Qur’an (22:27-28). 

 

  1. Talbiya.

-    Ni maneno ya kuitikia wito wa Mwenyezi Mungu (s.w) kulingana na aina ya Hija anayokusudia Hajj.

-    Maneno haya huanzia miiqaat hadi kufikia Ka’abah.

 

  1. Tawafu.

-    Ni kitendo cha kuizunguka Ka’abah mara saba kuanzia kona ya jiwe jeusi (Hajaral-aswad) kwa kulibusu au kuligusa kwa kidole au kuashiria.

 

-    Mzunguko hufanywa kwa mwelekeo wa kinyume na mwendo wa saa (Ant-clockwise direction).

 

-    Tawafu hufanywa mtu akiwa katika twahara, Hajj akikatisha tawafu kwa udhuru wowote ule, ataanzia pale alipokatishia.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kutoa vilivyo vizuri
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Zoezi la 5
Maswali mbalimbali kuhusu fiqih Soma Zaidi...

image Namna lengo la zakat linavyofikiwa
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Wanaostahiki kupewa zakat
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Vita vya badri
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu
Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu katika uislamu? Nini naana ya elimu ya muongizo. Je elimu ya mazingiravmaana yakeni nini. Ni upi utofauti wa elimu ya muongozo na elimu ya mazingira? Soma Zaidi...

image Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)..
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maana ya kuamini malaika katika maisha ya kila siku
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Tofauti kati ya Quran na vitabu vingine vya mwenyezi Mungu
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kumuamini mwenyezi Mungu (S.W)
Nguzo za imani (EDK form 2: elimu ya uislamu) Soma Zaidi...