Matibabu kwa mtu mwenye kiungulia

Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia

Matibabu kwa mwenye kiungulia.

1. Lishe ni muhimu kwanza kuachana na vyakula ambavyo ndicho chanzo cha kuwepo kwa kiungulia.

 

 

 

2, matumizi ya dawa za kuzuia kiungulia ambazo kwa kitaalamu huitwa anti asidi.

 

 

 

3. Pengine kama hali ni mbaya na kiungulia kimeshaharibu zaidi kwenye mfumo wa chakula ni vizuri upasuaji ni lazima.

 

 

 

 

4. Pia watu wanapaswa kujihadhari na ugonjwa huu kwa sababu matumizi ya mda mrefu ya anti asidi usababisha matatizo mengine zaidi.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 06:14:14 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1115


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-