Matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani
Post hii inahusu zaidi matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani, ni njia ya kawaida ya kujitibu vidonda vya tumbo kama tulivyoona.
Matibabu ya vidonda vya tumbo nyumbani.
1. Unatumia vitu vya kawaida ambavyo upatikana kwenye mazingira yetu.
2. Unatumia mdalasini gramu mia moja.
3. Unatumia majani ya mlonge gramu mia moja.
4. Unachukua magari gramu mia moja.
5. Unachukua kitunguu swaumu gramu mia moja
6. Unachanganya kwa pamoja.
7. Kipindi kifuatacho nitafundisha matumizi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 ai web app π2 Dua za Mitume na Manabii π3 Kitabu cha Afya π4 web hosting π5 Simulizi za Hadithi Audio π6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Tatizo la Kikohozi Cha muda mrefu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kikohozi cha muda mrefu ni zaidi ya kero. Kikohozi cha muda mrefu kinaweza kuharibu usingizi wako na kukuacha unahisi uchovu. Matukio makali ya kikohozi cha muda mrefu yanaweza kusababisha kutapika, kizunguz
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa
Post hii inahusu magonjwa yasiyo ya kuambukizwa,haya ni magonjwa ambayo hayawezi kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine
Soma Zaidi...Ni Nini husababisha kukosa choo? (Constipation)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo.
Soma Zaidi...Hisia za kutengwa au kutopendwa: Jinsi ya kujenga mtazamo chanya.
βHisia za kutengwa au kutopendwa zinaweza kuathiri ustawi wa kihisia kwa kiasi kikubwa. Makala hii ya kitaalamu inachunguza mizizi ya hisia hizi na kutoa mikakati ya kisaikolojia, inayothibitishwa na utafiti, ya kujenga mtazamo chanya, kukuza staha binafsi (self-esteem), na kurejesha furaha ya ndani
Soma Zaidi...Mawe kwenye figo: Sababu na jinsi ya kuepuka.
βMawe kwenye figo (kidney stones) ni mkusanyiko mgumu wa madini na chumvi zinazotengenezwa ndani ya figo zako. Ingawa mawe haya yanaweza kuonekana madogo, kupita kwao kupitia njia ya mkojo kunaweza kusababisha maumivu makali sana. Makala haya yanaelezea kwa kina kile kinachosababisha mawe haya, jinsi ya kuyatambua, na mikakati madhubuti ya lishe na maisha ili kuzuia kutokea tena.
Soma Zaidi...