Matokeo ya maumivu makali.

Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maumivu makali , kuna wakati mwingine mgonjwa anapata maumivu makali ya viungo na dawa mbalimbali uweza kutolewa kwa mgonjwa huyo lakini matokeo yake huwa ni kuendelea kwa maumivu kwa hiyo yafuatayo ni matokeo ya maumivu

Matokeo ya maumivu makali.

1. Mgonjwa ubadilika kimtazamo na pengine anaweza kufanana kama amechanganyikiwa.

Hali hii utokea kwa mgonjwa mwenye maumivu makali kwa sababu mgonjwa anafilili kwamba hatapona na hivyo uanza kubadilika na pengine kuwa mkali, juwa na hasira na pengine kufanana kama amechanganyikiwa na kupoteza mwelekeo.

 

2. Pengine kwa sababu ya maumivu akilala ukosa usingizi na ulala macho kila siku kwa mda mwingine utasikia anaongea mwenyewe usiku au anaita wale ambao hawaumwi na wamelala na aliwalalamikia kuwa wamemwacha na hawamjali kwa hiyo tiba ni lazima ili kumfanya mgonjwa  akaweza kupona na kuwa kawaida.

 

3. Pengine maumivu yakiwa makali sana na wengine ushindwa kabisa kushiriki tendo la ndoa kabisa na hamu kwa wengine uisha kabisa kwa hiyo maumivu yakiwa ya mda mrefu yanaweza kusababisha kuvunjika kwa ndoa kwa hiyo ni vizuri kutibu maumivu mapema .

 

4. Maumivu pia yanaweza kusababisha kutengana kwa familia kwa sababu kama kutakuwepo na uzembe wa kutoshirikiana katika kuuguza Mgonjwa panaweza kuwepo na kutegeana na pia kama kipato ni kidogo na pia hiyo ni shida kubwa katika kumuuguza mwenye maumivu ya mda mrefu.

 

5.Kwa hiyo tunapaswa kutibu Magonjwa mapema kabisa ili kuepuka hatari ya kuwepo kwa maumivu ya mda mrefu kwa kufanya hivyo tutaweza kuwasaidia wagonjwa wetu pia na jamii iache tabia mbaya ya kuwanyanyapaa wagonjwa hasa wale walio kwenye maumivu makali.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/18/Friday - 04:20:52 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 897

Post zifazofanana:-