Matunda yenye vitamini C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matunda yenye vitamin C kwa wingi
MATUNDA YENYE VITAMINI C KWA WINGI
Makala hii inakwenda kukuletea orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi. Vitamini C vinajulikana kwa umuhimu wake kwenye miili yetu hasa katika kuipa nguvu miili yetu katika kupambana na maradhi. Kwa wingi vitamini C tunaweza kuvipata katika matunda yafuatayo:-
1.Pilipili nyekundu
2.Machungwa
3.Madanzi
4.Malimao na ndimu
5.Pera (mapera)
6.Pilipili za njano
7.Matunda aina ya kiwi
8.Mapapai
9.Nanasi
10.Maembe
11.Tikiti maji
12.Nyanya
13.Pensheni
14.Zabibu
15.Epo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 ai web app 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Vyakula vya vitamini na faida zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito
Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...