Faida za kula Chungwa
Je unazijuwa faida za kula chungwa kiafya? soma makala hii hadi mwisho
9.Chungwa (orange).
Embe ni katika matunda maarufu sana duniani kote. chungwa lina kiwango kikubwa cha vitamini C na madini ya potassium (potashiam). Pia embe ni chanzo kizuri cha vitamini B kama vile thiamine na folate.
Katika chungwa. kuna vitu vingi ambavyo husaidia sana katika afya. Kama vile flavonoid, carotenoid na citric acid. Citric acid husaidia katika kupunguza uwezekano wa kuweza kupa kupata matatizo ya figo (kidney stones). Embe pia husaidia katika kuzuia kupata maradhi ya anaemia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 ai web app 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Vitamini C ni nini, na vipo kwenye nini?
Hapa utajifunza maana ya Vitamini C, mwaka vilipogunduliwa na aliyegundua vitamini C
Soma Zaidi...Zijuwe kazi na faida za Vitamini C mwilini
Vitamini C ni moja kati ya vitamini muhimu sana katika kuboresha ufanyaji kazi wa mfumowa kinga mwilini yaani immune system. Katika post hii utakwenda kujifunza kazi za vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Faida za kula uyoga
Kula uyoga kwa faida kubwa, ja unazijuwa faida za kula uyoga kiafya
Soma Zaidi...Faida za kitunguu thaumu mwilini
Makala hii itakuletea faida za kitunguu thaumu katika afyabyako.
Soma Zaidi...