Faida za kula Zaituni
Matunda ya zamani, matunda ya asili, Zaituni tunda lipendezalo, zijuwe faida zake leo
Zaituni (olive).
Ni katika matunda yaliyojulikana toka zama za zamani sana. Tunda hili lina kiwango kikubwa cha cha vitamini E na madini ya copper na calcium. Pia tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa tunda hili lina antioxidantan ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo na ini na pia husasidia katika kuzuia uvimbe.
Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya zaituni yana oleic acid yaani asidi ya oleik ambayo husaidia katika kuimarisha afya ya moyo pamojha na kuzuia kupata saratani. Pia tafiti zinaonesha kuwa tunda hili lina chembechembe ambayo husaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa wa osteoporosis. Huu i ugonjwa wa unaowapata sana wazee, na huathiri mifupa na kuifanya dhaifu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 ai web app 👉4 web hosting 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Hizi ndio kazi za madini mwilini mwako
Post huu inakwenda kukupa orodha ya madini muhimu kwa ajili ya afya yako.
Soma Zaidi...Kazi ya Piriton
Posti hii inahusu zaidi kazi ya Piriton katika kutibu mzio au akeji ni dawa ambayo kwa lingine huitwa chlorpheniramine Maleate.
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia kupunguza uzito
Posti hii inahusu vyakula ambavyo vinasaidia kupunguza uzito, ni baadhi ya vyakula ambavyo unaweza kutumia ili kuweza kuweka kwenye hali ya kawaida.
Soma Zaidi...Vyakula hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Soma Zaidi...