Faida za kula Karoti

Faida za kula Karoti

Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii

Faida za kula Karoti

15.Karoti. Watu wengi wanafahamu kuwa karoti ni mujarabu katika maatizo ya macho. Karoti huimarisha afya ya macho yako. Tafiti zinaonyesha kuwa karoti husaidia kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo. Kariti ni kiungo safi kwa mboga ni ni dawa iliyo nzuri. Unaweza kutumia karoti kwa kutafuna, kutengeneza juisi, kachumbari iliyochanganywa na kabichi n.k


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3440

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 ai web app     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Dalili za ukosefu wa madini ya iodini (goiter)

Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za upungufu wa iodini ambapo kitaalamu hujulikana Kama goiter. Goiter Ni Sababu ya kawaida ya goiter duniani kote ni ukosefu wa iodini katika chakula. Nchini Marekani, ambako utumiaji wa chumvi yenye iodini ni j

Soma Zaidi...
Faida za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe

Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kunde, maharage, njegere, mbaazi na njugu mawe

Soma Zaidi...
Fida za kula uyoga

Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy

Soma Zaidi...
Faida za kula tikiti

Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili

Soma Zaidi...
Maji pia yanawezakuwa dawa kwa akili

Umeshawahi kuumwa na dawa yako ikawa maji? Huwenda bado basi hapa nitakujuza kidogo tu, juu ya jambo hili.

Soma Zaidi...
Vyakula vizuri kwa vidonda vya tumbo

Hii ni orodha ya vyakula salama na vizuri kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Soma Zaidi...