Faida za kula Nyanya
Nyanya ni katika viungio vya mboga, kuna faida kubwa za kiafya katika nyanya
12.Nyanya
Tomato tumezoea huliwa katika mboga, ila pia unaweza kuila bichi ila sio jambo zuri hususan uangalizi unahitajika. Tomato zimetaja na wataalamu wa Afya kuwa na faida nyingi. Tomato huweza kupunguza hatari ya kupata saratani na pia hupunguza athari za kisukari.
Ndani ya tomato kuna aina za carotenoid kama vile: lutein na lycopene. Hizi husaidia katika kuimarisha afya ya macho. Au kupunguza athari zinazotokana na mwanga zisidhuru macho. Tomato ni katika matunda ambayo yauwezo mkubwa wa kulinda mwili dhidi ya maradhi. Pia huweza kuuwa seli za saratani.
Tomato zina vitamini C kwa wingi. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa vitamini hivi vina kazi kubwa ya kulinda mwili na maradhi mbalimbali. Pia vitamini hivi vinakazi ya kuzuia utengenezwaji wa seli bila ya mpangilio yaani seli za saratani.
Tomato huweza kupunguza presha kwa wale wenye tatizo la kupanda kwa presha yaani shinikizo la damu. Wataalamu wanaeleza kuwa kutumia kudhibiti kiwango cha sodium yaani madini ya sodiam hali hii husaidia katika kurekebisha shinikizi la damu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Faida za mchai chai
Posti hii inahusu zaidi faida za mchai chai, ni mmea ambao upandwa na watu kama maua, dawa au kikolezo cha chai na Kuna wengine kabisa wanatumia kama sehemu Mojawapo ya dawa kwa hiyo tutaona faida za mmea huu wa mchai chai.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu
Soma Zaidi...Umuhimu wa kula matunda na mboga mboga kila siku.
Mara nyingi tunasikia ushauri wa "kula matunda na mboga mboga," lakini je, umewahi kujiuliza kwa nini hii ni kanuni muhimu zaidi ya lishe bora? Vyakula hivi sio tu kwa ajili ya kuongeza ladha kwenye sahani yako; ni hazina ya virutubisho, viondoa sumu, na nguvu za kinga zinazouwezesha mwili wako kufanya kazi kwa ufanisi na kukuepusha na magonjwa sugu. Makala haya yanakupa sababu za msingi kwa nini unapaswa kuweka mboga na matunda kwenye kila mlo wako.
Soma Zaidi...Faida za kula Palachichi
Palachichi lina virutubisho vingi na vitamini, kula palachichi uiokoe afya yako
Soma Zaidi...Hizi ndio kazi za madini mwilini mwako
Post huu inakwenda kukupa orodha ya madini muhimu kwa ajili ya afya yako.
Soma Zaidi...