Kitunguuu thaumu ni muhimu sana katika afya yako, je unazijuwa faida hizo? njoo pamoja nami
13.kitunguu saumu. Watu wamekuwa wakitumia kiungo hiki kwa kupikia toka enzi za mababu. Halikadhalika kiungo hiki kimekuwa kikitumika kama dawa kwa karne nyingu, maeneo mengi duniani. Utafiki unaonesha kuwa katika kitunguu saumu kuna βallicinβ hii husaidia katika kuimarisha mfumo wa kinga katika kupambana na maradhi mbalimbali. Tumia kiungo hiki kwa kupikia. Pia unaweza kutafuna punje zake. Watu wenye maradhi mablimbali wamekuwa wakitumia kiungo hiki na kuona mafanikio.
Umeionaje Makala hii.. ?
Kiharusi cha joto ni hali inayosababishwa na joto la juu la mwili wako, kwa kawaida kama matokeo ya kukaa kwa muda mrefu au bidii ya mwili katika joto la juu. Aina hii mbaya zaidi ya jeraha la joto, kiharusi cha joto kinaweza kutokea ikiwa joto la mwili
Soma Zaidi...Kutengeneza tovuti ni jambo moja na kuilinda ni jambo la pili. Kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia, kumepelekea kukua na kushamiri kwa uhalifu kwa njia ya mtandao.
Soma Zaidi...posti hii inaonyesha dalili na Ishara kuu ya utasa wa kiume ni kutokuwa na uwezo kumpa mwanamke ujauzito. Kunaweza kuwa hakuna dalili nyingine dhahiri.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI
Soma Zaidi...Ni vidonda vinavyotokea katika ukuta wa tumbo. Vidonda hivi tumezoea kuviita vidonda vya tumbo ila hapa nitataja kitaalamu kuwa vidonda hivi hufahamika kama peptic ulcers.
Soma Zaidi...njia ya kuchagua dawa itumike inategemea mambo mawili ambayo ni:Kutegemea dawa: Maandalizi yaliyopoInategemea hali ya mgonjwa: Dharura au kutowezekana kwa ulaji kwa baadhi ya njia ya utawala wa dawa ni njia ya ambayo dawa au dutu nyingine huletwa na mwi
Soma Zaidi...Baada ya Nuhu(a.s) Mtume aliyemfuatia ni Nabii Hud(a.s). Hud(a.s) alitumwa na Mola wake kuwalingania kabila (taifa) la ‘Ad. Kabila la ‘Ad lilikuwa likijulikana kama ‘Ad-al-ram au ‘Ad-Ula. ‘Ad walikuwa wakiishi kusini ya Bara
Soma Zaidi...Utajifunza na kuelewa hata kama hauna computer kwa muda huo
Soma Zaidi...