Posti hii inahusu zaidi maumivu wakati wa hedhi, haya ni maumivu ambayo utokea wakati wa hedhi kwa wanawake walio wengi, wengine huwa hawayapati kabisa na wengine hutapata na kwa kiwango kikubwa kutegemea na matatizo mbalimbali kama tutakavyoona.
Maumivu wakati wa hedhi
1.Haya ni maumivu ambayo uwapata wanawake walio wengi na wasichana kwa kawaida huwa katika makundi mawili, kuna maumivu ambayo utokea wakati wa hedhi na maumivu haya huwa hayaambatani na magonjwa yoyote ila kuna aina ya pili ambapo maumivu utokea ni kwa sababu ya kuwepo kwa magonjwa kwenye via vya uzazi.
2.kuna sababu za kuwepo kwa maumivu wakati wa hedhi ni pamoja na matatizo kwenye mfuko wa kizazi kwa sababu kama kuna Maambukizi kwenye mfumo wa kizazi lazima Maumivu yatakuwepo au pengine panakuwepo na uvimbe kwenye mfuko wa kizazi ambao usababisha maumivu wakati wa hedhi.
3.Pengine maumivu kwenye mfuko wa uzazi Usababishwa na msongo wa mawazo kwa sababu unakuta kuna wanawake wengine wanaishi mazingira magumu na kusababisha maumivu makali wakati wa hedhi kwa hiyo tunapaswa kupunguza msongo wa mawazo ili kuepuka mawazo mbalimbali Ambayo yanaweza kusababisha maumivu wakati wa hedhi.
4.Maambukizi kwenye mlango wa kizazi.
Kwenye mlango wa kizazi panaweza kuwepo kwa Maambukizi kama kuna Maambukizi kuna Maambukizi ndiyo usababisha maumivu wakati wa hedhi mara nyingine panaweza kuwepo viashiria vya kansa ya mlango wa kizazi au pengine Maambukizi kutokana na ngono zembe kwa hiyo kama kuna mambo kama hayo Maumivu wakati wa hedhi ni kawaida.
5.Kwa hiyo tunapaswa kujua kubwa kwa wale wenye maumivu makali wakati wa hedhi wanapaswa kwenda hospitalini kupima ili kuangalia shida ni nini ambayo inafanya kuwepo kwa maumivu hayo kwa hiyo tunapaswa kuepuka na msongo wa mawazo ili tuweze kuepuka matatizo ya kuwa na maumivu wakati wa hedhi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo tunaweza kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili la kutanuka kwa tezi dume, kwa hiyo tunaweza kutumia njia zifuatazo ili kuweza kupunguza tatizo hili kwenye jamii kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kunamaanisha kuwa Majimaji (shahawa) unayotoa wakati wa kufika kileleni huwa na mbegu chache kuliko kawaida. Hesabu yako ya manii inachukuliwa kuwa chini kuliko kawaida ikiwa una chini ya mbegu milioni 15. Kuwa na idad
Soma Zaidi...PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu ya kutumia dawa hizo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuondoa tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kupasuka kwa mfuko wa uzazi hasa mama anapokalibia kujifungua.
Soma Zaidi...