MAUMIVU YA KIUNO NA DALILI ZAKE


image


Posti hii inahusu zaidi maumivu ya kiuno na dalili zake, ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno na kusababisha madhara mbalimbali katika mwili,


Zifuatazo ni dalili za maambukizi kwenye kiuno.

1. Maumivu makali wakati wa kuinama, haya ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno iwapo mtu akiinama chini, hii utokea pale ambapo pingili zinazozunguka kiuno kuanza kutumia ,na hii usababishwa na Maambukizi kwenye kiuno au wakati mwingine ni kwa sababu ya mifupa ya kwenye kiuno kulegea na kusababisha maumivu wakati wa kuinama.

 

2.Maumivu makali kwenye kiuno wakati wa kunyanyua kitu hasa vitu vizito, maumivu ya kiuno utokea hasa pale mtu anaponyanyua vitu vizito, hii utokea kwa sababu kwenye kiuno ambapo maambukizi usababisha mifupa kulegea na kusababisha maumivu wakati wa kubeba vitu vizito kwa hiyo tunapaswa kuachana na hali ya kubeba vitu vizito tuwe na desturi ya kubeba vitu vyenye uzito kidogo.

 

3. Watu wenye matatizo ya maambukizi kwenye kiuno ujikuta Wanakuwa na ganzi kwenye miguu au sehemu nyingine Ila kwenye miguu ni kwa kiasi kikubwa hii ni kwa sababu pingili ambazo zina maambukizi ukandamiza  mishipa ya fahamu na hivyo kusababisha damu kusafiri kwa shida atimaye ganzi uonekana kwenye sehemu za miguu au kwinginekwa kwa sababu ya maambukizi kwenye kiuno.

 

4.Maumivu  makali wakati wa baridi au wakati wa asubuhi, hii utokea wakati wa asubuhi ambapo misuli huwa imebana sana kwa sababu ya kupata joto kwa hiyo na mifupa yenye maambukizi pia uguswa na kusinyaa kw misuli hatimaye mtu usikia maumivu makali wakati wa baridi na hivyo kumpelekea mgonjwa kukosa amani hasa wakati wa baridi.

 

5.Maumuvu wakati wa kusimama na wakati wa kukaa, haya ni maumivu ambayo utokea kwenye kiuno ambapo kwa sababu ya maambukizi kwenye kiuno mifupa ulegea na kusababisha maumivu wakati wa kukaa na kusimama, kwa sababu ya kulegea kwa mifupa iliyomo kwenye kiuno usababisha maumivu makali.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za madhara ya figo
Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo. Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa vijana
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa vijana Soma Zaidi...

image Sababu za Maambukizi kwenye mifupa.
Post hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ni Maambukizi ambayo hutokea kwenye mifupa kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha ugonjwa huu. Soma Zaidi...

image Fahamu matatizo yanayowapata watoto waliozaliwa kabla ya wakati au mapema (premature)
Kuzaa kabla ya wakati ni kuzaliwa ambayo hufanyika zaidi ya wiki tatu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto au kuzaliwa mapema ni moja ambayo hutokea kabla ya mwanzo wa wiki ya 37 ya ujauzito. Kawaida, ujauzito hudumu kama wiki 40. Soma Zaidi...

image Namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa
Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi. Soma Zaidi...

image Faida za tumbo katika mwili wa binadamu
Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula, Soma Zaidi...

image Dalili za mtu aliyekula chakula chenye sumu
Post hii inahusu zaidi mtu aliyekula chakula chenye sumu, chakula chenye sumu ni chakula ambacho kikitumiwa na mtu yeyote kinaweza kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu hata kifo. Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa Soma Zaidi...

image Dawa ya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za minyoo Soma Zaidi...

image Ni Nini husababisha kinjwaa kutoa harufu mbaya?
Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya? Soma Zaidi...