Mbinu za kuponyesha majeraha
Posti hii inahusu zaidi mbinu ambazo hutumika kuponyesha majeraha kwa haraka zaidi,tunajua majereha utokana na kupona kwa vile vidonda au kupona kwa sehemu ambayo imekuwa na majeraha kwa hiyo ili kuponyesha majeraha hayo tunapaswa kufanya yafuatayo.
Mbinu za kuponyesha majeraha.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kutumia mlo kamili.
Mlo kamili ambao una kila aina ya virutubisho vya kutosha mwilini kwa kufanya hivyo majereha hatapona haraka kuliko kutumia vyakula visivyofaa au visivyokuwa na mpangilio maalumu. Kwa hiyo tujue kwa uhakika kuwa chakula ni dawa.
2. Kupumzika kwa mda wa kutosha.
Tunajua wazi kuwa mtu anapopumzika anafanya mwili kuweza kujitengeneza kwa mda, kwa hiyo mtu aliyepata tatizo la namna hii anapaswa kupumzika kwa muda wa kutosha ili kuupatia mwili mda wa kuweza kujitengeneza kwa mda.
3. Vile vile mgonjwa anapaswa kufuata mashariti ya wataalamu wa afya. Kwa kufanya hivyo mgonjwa ataweza kupona kwa urahisi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kuwa mashariti yanafuatwa kwa ukaribu zaidi na kwa mda wa kutosha.
4. Pia mgonjwa anapaswa kunywa maji ya kutosha kwa kufanya hivyo ataweza kuruhusu uchafu wowote kutoka kwenye mwili na kuruhusu mwili kujitengeneza kwa upya kwa sababu maji ufanya mwili uwe na mwororo na wa kuvutia sana.
5. Kuoga kwa maji ya baridi.
Tunaelewa wazi faida za maji ya baridi kwa hiyo tunapaswa kuyatumia ili kuweza kufanya ngozi ya mwili kurudia kwenye hali yake ya kawaida.kws kufanya hivyo tutaweza kuponyesha ngozi na majereha hatapona haraka.
6. Kwa hiyo tunaona wazi kwamba kuna wakati mwingine majereha Upata mtu kwenye sehemu mbaya yaani ya usoni hali ambayo ufanya watu kujihisi vibaya kwa kufanya hayo ambayo tumeyaona tutaweza kuponyesha majeraha mapema na maisha yataendelea kama kawaida.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 web hosting 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Mkojo wa kawaida
Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo.
Soma Zaidi...Faida za tumbo katika mwili wa binadamu
Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Namna ya kusaidia vijana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo ,
Soma Zaidi...Mem mtoto ang almeza sumu yapanya ila tulimpa maziwa kwan inaweza leta madhara kwabaadae mana atukumpeleka hosptal
Maziwa ni mojakati ya vinywaji ambavyo ni dawa na hutumikakutoa huduma ya kwanza pale mtu anapomeza ama kula sumu. Huduma ya kwanza hii inaweza kuokoa maisha na wakati mwingine inaweza kuwa ndio dawa kabisa wala hakuna haja ya kufika Kituo cha afya.
Soma Zaidi...Zijue sababu za kupungukiwa damu mwilini
Posti hii inahusu zaidi tatizo la kupungukiwa damu mwilini, ni ugonjwa unaotokana sana hasa kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano ingawa na kwa watu wazima.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto
Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just,
Soma Zaidi...