Mbinu za kupunguza magonjwa yanayohusiana na figo
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa figo. Ni ugonjwa unaotokana pale figo linaposhindwa kufanya kazi, tuone mbinu za kufanya Ili kuepuka na tatizo hilo.
1. Mbinu za kupunguza ugonjwa wa figo ni pamoja na kunywa maji Ili kuweza kutoa sumu ambayo imo ndani, tunapaswa kunywa walau grass Moja kwa siku
2. Kufanya mazoezi kila siku na mara kwa mara Ili kuweza kuyeyusha mafuta yaliyomo mwilini na kutoa uchafu kwa njia ya jasho.
3. Kujaribu kupunguza chumvi kwenye chakula, tukumbuke kwenye chumvi kuba madini ya sodium na chlorine, ambazo haziitajiwi na mgonjwa wa figo
4.Kikohoa kwa mda na wakati unaposikia mkojo , hii ni muhimu sana kwa sababu upunguza uchafu kwenye kibofu Cha mkojo.
5. Tujue kuwa ugonjwa wa figo ni hatari kwa hiyo tunapaswa kufuata maelekeza yote kama inawezekana maana figo zikishindwa kazi ni shida, matibabu yapo unapohisi kuwa unaumwa ugonjwa wa figo
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 web hosting 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Aina za vidonda
Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.
Soma Zaidi...Njia za kuingiza chanjo mwilini
Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Namna ya kuyatunza macho
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Faida za seli
Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Umuhimu wa uterusi
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari, ni njia ambazo usaidia kuzuia maambukizi kwenye milija na ovari
Soma Zaidi...