Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu katika uislamu? Nini naana ya elimu ya muongizo. Je elimu ya mazingiravmaana yakeni nini. Ni upi utofauti wa elimu ya muongozo na elimu ya mazingira?
Mgawanyo Sahihi wa Elimu kwa Mtazamo wa Uislamu.
- Kwa mtazamo wa Uislamu elimu imegawanyika katika nyanja kuu mbili;
1. Elimu ya Mwongozo (Faradh ‘Ain).
- Ni elimu ya lazima ambayo kila muislamu (mtu) anapaswa kuisoma, haina uwakilishi. Mfano ibada za swala, funga, hijja, zakat, n.k.
2. Elimu ya Mazingira (Faradh Kifaya).
- Ni elimu ya uwakilishi ambapo wakisoma wachache katika jamii inatosheleza lakini wasipopatikana wa kuwakilisha, jamii yote itawajibika.
Mfano fani ya Udaktari, Uinjinia, Ualimu, Urubani, n.k.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mahusiano kati ya elimu ya mwongizo na elimu ya mazingira katika uislamu.
Soma Zaidi...Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Ni lipi lengo kuu la Elimu katika uislamu (Edk form 1 Dhanaya Elimu)
Soma Zaidi...Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...