Mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu.

Posti hii inahusu zaidi mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu, tunajua kubwa kifua kikuu ni Ugonjwa ambao utumia mda mrefu kidogo katika matibabu kwa hiyo mgawanyiko wake uko kwenye sehemu mbili muhimu kama tutajavyoona

Mgawanyo wa matibabu ya kifua kikuu.

1.Kifua kikuu ni Ugonjwa  ambao utumia mda mrefu kidogo wakati wa matibabu kwa hiyo matibabu yake yamegawanyika kwenye sehemu mbili muhimu ambapo mtu anaweza kutumia dawa za sehemu ya kwanza akapona na mwingine anaweza kutumia zote mbili na akapona vizuri kwa hiyo inategemea.

 

2.Sehemu ya kwanza ya matibabu mgonjwa utumia dawa zifuatazo kama vile Rifampicin, Isoniazid, pyrazinamide na ethambutol hizi dawa mgonjwa uzitumia kwa kipindi cha miezi miwili kwa mgonjwa aliyetambulika kwa na kifua kikuu.

 

3.Katika miezi mingine miwili mgonjwa uendelee kutumia dawa za Rifampicin, Isoniazid, ethambutol, pyrazinamide na kuongezea na streptomycin , dawa hizi utumika kwa kipindi cha miezi miwili ambapo mgonjwa kila siku ni lazima awe anatumia dawa hizo na kwa uaminifu. Na pia mgonjwa urudia dawa za kwenye miezi miwili ya mwanzoni na utumia dawa hizo kwa kipindi cha mwezi mmoja.

 

4.Kama Mgonjwa hajapona katika miezi ya mwanzo  mgonjwa utumia dawa mbili tu ambazo ni Rifampicin na Isoniazid kwa kipindi cha miezi minne na akimaliza miezi hiyo mingine anao gezewa Ethambutol kwenye Rifampicin na Isoniazid dawa hizi mgonjwa uzitumia kwa kipindi cha miezi mitano na kama mgonjwa akitumia dawa zake vizuri yaani kupona kutakuwa rahisi mno.

 

5.Na katika matumizi ya dawa hizi unapaswa kuwasiliana na wataalamu wa afya ambao wataweza kukupatia maelekezo kwenye matumizi ya dawa kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu ili wapate dawa na kutibu ugonjwa huu

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/16/Wednesday - 08:48:31 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 673

Post zifazofanana:-

Fahamu Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za Uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango ni huduma ambazo hutoa chaguo kwa familia kuwa na idadi ya watoto wanaotaka katika muda maalum, wanahisi na mbinu iliyoamuliwa. Soma Zaidi...

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume. Soma Zaidi...

Upungufu wa damu mwilini
Post inaenda kuzungumzia kuhusiana na upungufu wa damu mwilini ambapo tutaona SABABU na dalili zake lakin upungufu wa damu mwilini hujulikana Kama ANEMIA. Soma Zaidi...

Dalili za tezi dume.
Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo anaweza kuzipata mwenye Ugonjwa wa tezi dume, sio Dalili zote mtu anaweza kuzipata kwa sababu dalili kama hizi zinaweza kujitokeza hata kwa magonjwa mengine. Soma Zaidi...

Sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutokea kwa maumivu ya jino Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamin E
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E Soma Zaidi...

Matumizi ya OCR katika simu yako
Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako Soma Zaidi...

Hadithi ya chongo wa kwanza mtoto wa mfalme
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Swala ya Istikhara na jinsi ya kuiswali
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu swala ya Istikhara Soma Zaidi...

Madhara ya kutumia tissue au toilet paper
Post hii inahusu zaidi madhara ambayo tunaweza kuyapata katika matumizi ya toilet paper au tisu kwenye sehemu za siri. Soma Zaidi...

Mtoto wa tajiri na maskini (sehemu ya pili)
Post hii inahusu zaidi watoto wa wawili ambapo mmoja ni mtoto wa tajiri na mwingine ni mtoto wa maskini. Soma Zaidi...

Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje
Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili. Soma Zaidi...