MGAWANYO WA TIBA YA KIFUA KIKUU


image


Post hii inahusu zaidi mgawanyiko wa tiba ya kifua kikuu, kwa kawaida tiba hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili.


Mgawanyo wa tiba ya kifua kikuu.

1.Tiba ya kifua kikuu imegawanyika katika makundi mawili na kila kundi huwa na dawa zake kutofautiana na kundi jingine, makundi menyewe ni kama ifuatavyo.

 

2. Kundi la kwanza ambalo kwa kitaalamu huitwa initial phase, kundi hili lina madawa ya rifampin, isoniazid,pyrazinamide na ethambutol dawa hizi utumika kwa miezi miwili kwa mgonjwa anayeanza matibabu yaani mgonjwa mpya.

 

 

3. Na pia mgonjwa uongezewa dawa nyingine mpya ya streptomycin, na zile za mwanzo nazo utumika ambazo ni isoniazid, rifampin, ethambutol na pyrazinamide dawa hizi utumika kwa miezi miwili tena kwa mgonjwa mpya.

 

 

 

4. Pia mgonjwa uongezewa mwezi mwingine mmoja kwa dawa zile za mwanzo ambazo ni isoniazid, rifampin, pyrazinamide and ethambutol kwa hiyo kwa ujumla mgonjwa mpya utumia miezi mitano katika matibabu.

 

 

5. Kipindi cha pili utumia miezi tisa ikiwa mgonjwa alipotumia dawa kwenye kipindi cha kwanza akaona na baada ya siku chache ugonjwa ukajiridia tena na matibabu uanza upya kama ifuatavyo.

 

 

6. Kwenye miezi minne ya mwanzo mgonjwa utumia dawa zifuatazo rifampin na isoniazid kwa kipindi cha miezi minne na pia mgonjwa uongezewa dawa nyingine moja ambayo ni ethambutol kwa kipindi cha miezi mitano yaani miezi minne ya kwanza mgonjwa utumia rifampin, isoniazid, na katika kipindi cha miezi mitano ya mwisho mgonjwa utumia rifampin, isoniazid na ethambutol kwa miezi mitano kwa hiyo kipindi cha mwisho utumia miezi mitano katika matibabu.

 

 

 

7. Katika siku za mwanzoni mgonjwa anapogunduliwa kubwa na kifua kikuu anaweza kuambukiza watu wengine ila baada ya kuanza dawa kwa kipindi cha wiki mbili mgonjwa hawezi kuambukiza wengine kwa hiyo ni vizuri zaidi na kuchukua tahadhari kwa sababu ugonjwa huu utibiwa kwa mda mrefu ingawa watu wanapona lakini tahadhari ni ya muhimu.

 

 

 

8. Kwa hiyo tunapaswa kutoa elimu kwa watu kuhusu ugonjwa huu kwamba unapina na pia kuachana na mila na desturi za kuwatenga watu wenye ugonjwa huu na pia kuwaficha watu wenye ugonjwa huu kwa sababu ya mila na desturi kwa sababu kadri watu wanabyofichwa kwenye majumba na kuhudumiwa wakiwa wamefichwa usababisha kuongezeka kwa ugonjwa huu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kudai kwamba familia fulani kuna kifua kikuu , kwa hiyo jamii inapaswa kuelezwa kwamba ugonjwa huu unatibika na watu wanapona.

 

 

 

 

9. Pia tunapaswa kuacha imani kwamba kila mtu mwenye kifua kikuu ana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi siyo kweli kwa sababu tumeona jinsi kifua kikuu kinavyoonezaa kwa hiyo watu watoe hofu kwamba sio kila mwenye kifua kikuu ni mwathirika wa maambukizi ya Virusi vya, ila kupima maambukizi ni vizuri ili kujua afya zetu.

 

 

 

 

10. Pia na dawa tulizoziona za kutibu kifua kikuu ni lazima kuzipata hospitali sio mitaani au madukani kwa sababu kuna maelekezo ya kufuata katiks matumi na tutaweza kuchambua dawa moja na nyingine hapo mbeleni.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Fahamu kazi ya dawa ya ampicillin inayopambana na maambukizi ya bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya ampicillin, ni mojawapo ya dawa za kutibu maambukizi ya bakteria kwenye mwili wa binadamu ba pia ni dawa ambayo IPO kwenye kundi la penicillin kundi hili kwa kitaa huitwa broad spectrum penicillin Soma Zaidi...

image Fahamu dawa za cyclophosphamide na mustargen.
Post hii inahusu zaidi dawa za cyclophosphamide na mustargen katika kupambana na ugonjwa wa Kansa. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya maumivu aina ya indomethacin
Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu au kutuliza maumivu, kwa majina huiitwa indomethacin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu ya Kawaida. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa zinazopunguza maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili
Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa. Soma Zaidi...

image Ijue dawa ya sulphadoxine na pyrimethamine (sp)
Post hii inahusu zaidi dawa ya Sp , kirefu cha dawa hii ni sulphadoxine na pyrimethamine hii dawa ilitumika kutibu malaria kwa kipindi fulani lakini sasa hivi imebaki kutumiwa na wajawazito kama kinga ya kuwazuia kupata malaria. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya parental Artusnate dawa ya kutibu malaria sugu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye. Soma Zaidi...

image Fahamu dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo
Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya mucolytic dawa ya kutibu kikohozi
Post hii inahusu zaidi dawa ya mucolytic katika kutibu kikohozi kwa watu wazima na watoto. Soma Zaidi...

image Fahamu kuhusu dawa ya loperamide dawa ya kuzuia kuharusha
Post hii inahusu zaidi dawa ya loperamide ni dawa ambayo inazuia kuharisha ni dawa inayofanya kazi kuanzia kwenye utumbo na pia usaidia kutuliza maumivu ya tumbo Soma Zaidi...