MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO: kuliwa kwa tishu, damu, ini na nyama, kuisha damu, kutapika,
MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika.
MADHARA YA MINYOO
MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO
Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika. Lakini minyoo ikizidi madhara haya huwenda yakawa makubwa zaidi.
1.mgonjwa anaweza kutapika damu
2.Miwasho mikali kwenye puru na sehemu za siri kwa wanawake
3.Inaweza kuathiri ini na tishu nyingine
4.Inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa anaemia
5.Uchpvu, kupungua uzito na homa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za HIV/UKIMWI
Soma Zaidi...Fahamu Ugonjwa unaosababisha madhara kwenye mapafu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu
Soma Zaidi...NINI MAANA YA BROWSER AU KIVINJALI KATIKA INTERNET
Nahitimisha kwa kusema ili ufanikiwe katika kuwa mahili wa kutafuta taarifa mtandaoni au kujifunza chochote mtandaoni ni lazima uelewe kuwa borwser au kivinjali kwa kiswahili ndio kama njia ya wewe kuingilia tovuti yoyote ile duniani.
Soma Zaidi...Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo tusipotibu tunaweza kupata madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Signs and symptoms of pregnancy.
In fact there is a lot of signs and symptoms of pregnancy a mother experiences throughout pregnant. These signs may start to be revealed immediately after conception or in the first week after conception. A term pregnancy is traditionally calculated by mi
Soma Zaidi...