NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo.
NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO
Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo. Njia hizo ni kama :-
1.usile chakula, nyama ana samaki ambaye hajapikwa vyema, ama kula nyama mbichi ama isiyoiva
2.Epuka kugusagusa nyama unapoandaa chakula chako, tenganisha nyama kivyake na vyakula vingine wakati unapoandaa kupika.
3.Safisha vyema vyembo ambavyo vimegusa nyama ambayo haikupikwa
4.Usile mimea ambayo inaishi ndani ya maji yabaridi
5.Usitembee miguu wazi kwenye maeneo machafu ambayo yana kinyesi
6.Safisha vyema kinyesi cha wanyama.
7.Hakikisha unapika vizuri nyama mpaka uhakikishe imewiva vyema,
8.Wanya kungβata kucha ama kunyonya vidole
9.Hakikisha unaosha kila unachokila kwa maji yaliyo safi na salama.
10.Usafi wa mwili, mavazi na mazingira ni muhimu kwa ajili ya kupambana na minyoo.
11.Kuwacha kabisa kula udongo
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi jinsi magonjwa yanavyosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Soma Zaidi...Schizophrenia ni ugonjwa wa akili ambao huathiri jinsi mtu anavyofikiri, kuhisi, na kuamua. Dalili za schizophrenia zinaweza kuwa kama ifuatavyo hapo chini
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na saratani za tishu ambazo kitaalamu hujulikana Kama Leukemia kawaida huhusisha seli nyeupe za damu. Seli zako nyeupe za damu ni wapiganaji hodari wa maambukizo - kwa kawaida hukua na kugawanyika kwa utaratibu, kadri mwi
Soma Zaidi...Post hii Ina onyesha DALILI za Homa ya matumbo (typhoid fever) huenea kupitia chakula na maji machafu au kwa kuwasiliana kwa karibu na mtu aliyeambukizwa. Dalili na ishara kwa kawaida hujumuisha Homa kali, maumivu ya kichwa, maumi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine.
Soma Zaidi...Virusi vya korona ni katika aina za virusi ambavyo asili yake ni kutoka kwa wanyama na kuja kwa binadamu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ukimwi za kwenye ulimi na mdomo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za michubuko,kwa Sababu michubuko utokea sehemu tofauti tofauti na pia Kuna aina mbalimbali kama tutakavyoona hapo mbeleni.
Soma Zaidi...Kutokwa na mate mengi mdomoni si ugojwa ni hali inayoweza kutokea kwa mtu yeyote. Mara nyingi hali hii haihitaji matibabu wa dawa, na huondoka yenyewe. Lakini hutokea baadhi ya nyakati ikawa mate yanatoka zaidi mdomoni. Je na wewe ni miongoni mwao? Makala
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Soma Zaidi...