Navigation Menu



Msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa aliye na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, ni huduma maalumu ambayo utolewa kwa mtu ambaye ana uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Zifuatazo ni huduma maalumu kwa mwenye uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kupunguza maumivu kwa mgonjwa mwenye uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo. Hii ni hatua ya kwanza kabisa ambapo mgonjwa mwenye tatizo la uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo upewa dawa ya maumivu Ili kupunguza maumivu ambayo anayasikia kwa sababu mwenye uvimbe mkubwa sana na ambao umetumia mda mrefu utokwa na damu na wakati wa kukojoa mkojo uhisi maumivu makali kwa hiyo Tunapaswa kuondoa maumivu kwa mtu Mwenye  tatizo hili na baadae kuendelea na matibabu mengineyo.

 

2. Kuhakikisha kuwa mgonjwa anakojoa sana Ili kuondoa uchafu kwenye kibofu Cha mkojo.

Kwa kumpatia mgonjwa vitu mbalimbali vya kunywa kama vile maji mengi ya kunywa juice na kila kitu ambacho uweza kuingia kama kimiminika ambacho umfanya mgonjwa aweze kukojoa sana kwa Sababu mgonjwa mwenye tatizo kwenye Cha mkojo akikojoa sana na uchafu unatolewa na huduma nyingine zinaweza kuendelea Huku akitumia dawa za maumivu na akiendekea kunywa maji. Kwa hiyo maji na yenyewe utumika kama dawa kwa ajili ya kusafisha uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo Ili kupunguza kiwango Cha maambukizi.

 

3. Kumpatia mgonjwa dawa ambazo zimedhibitidhwa na daktari.

 Baada ya kumpatia dawa za kupunguza maumivu na mgonjwa akiwa anaendelea kunywa maji, vipimo vikimalizika mgonjwa upewa dawa zile alizoagiza daktari.

 

4. Kutoa Elimu ya kutosha kwa jamii kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa uvimbe kwenye kibofu, na kuwa as mbia watu namna ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa

Download app yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download

Download Now Bongoclass

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu image Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Views 1670


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zifazofanana:-

Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa
Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili. Soma Zaidi...

Elimu kuhusu HIV na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu elimu ya kuhusu HIV na UKIMWI Soma Zaidi...

Kuharisha choo cha marenda renda ni dalili gani?
Hivi huwa unachunguza choo chako? ivi huwa kinazama kwenye maji ama kinaelea? Kila damu ama malendalenda, je ni cheusi sana na kina harufu kali sana. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Senene
Soma Zaidi...

Dalili kwa mtu anayeharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitia kinyesi chenye maji inawezekana kina damu au kisichokuwa na damu. Soma Zaidi...

Athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo.
Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu anaweza kumwambikiza mtoto na mtoto akazaliwa na Ugonjwa huu. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa misuli kuwa dhaifu.
hali ambayo misuli unayotumia kwa hotuba ni dhaifu au unapata shida kuidhibiti mara nyingi inaonyeshwa na usemi wa kufifia au polepole ambao unaweza kuwa mgumu kuelewa. Sababu za kawaida za Ugonjwa huu ni pamoja na matatizo ya mfumo wa neva (neurolojia Soma Zaidi...

FANGASI SEHEMU ZA SIRI: DALILI ZAKE, CHANZO CHAKE NA NJIA ZA KUPAMBANA NAO
Soma Zaidi...

Kumsaidia sliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo
Posti hii inahusu namna ya kumsaidia mgonjwa aliyepungukiwa na damu kwa sababu ya minyoo. Soma Zaidi...

Mtu mwenye maumivu ya tumbo upande wa kushoto anaweza kutumia tiba gani ya asili ambayo inaweza kumsaidia kupunguza maumivu?
je na wewe ni mmoja katika wenye maumivu ya tumbo upande mmoja?. Basi post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...