Msaada kwa wenye Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwahudumia wenye Maambukizi kwenye mifupa, ni njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuwasaidia wenye Maambukizi kwenye mifupa.
Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye mifupa.
1.Kuwapatia maji yenye antibiotics.
2.kuwawaweka kwenye mkao mzuri ili kuweza kuepuka kunasababisha maumivu kwa mara ya pili.
3.Kupima joto na mwili, presha, msukumo wa damu na mapigo ya moyo.
4. Kusafisha kidonda ili kuhakikisha kuwa uchafu umeisha kwa kufuata hatua zote za uchafu.
5. Kuhakikisha unajua kiasi cha maji kilichoingia na kilichotoka.
6.Kwenda kwenye mazoezi ili kurekebisha sehemu yenye matatizo.
7.kumpatia mgonjwa dawa ya maumivu ili kupunguza maumivu hayo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 ai web app 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Dalili za Mimba Baada ya Ovulation
Kipindi cha baada ya yai kupevuka (ovulation) na kabla ya siku zako za hedhi kutarajiwa (drip-wait period) ni kipindi cha kusisimua kwa mwanamke anayetafuta mtoto. Makala hii inaelezea dalili za mapema ambazo mwili unaweza kuzionyesha mara baada ya yai kurutubishwa na kupandikizwa kwenye mji wa mimba, yakikusaidia kuelewa mabadiliko ya kibaolojia yanayoendelea.
Soma Zaidi...Saratani ya matiti (breasts cancer)
Post yetu inaenda kuzungumzia kuhusiana na Saratani ya Matiti ni Saratani ambayo hutokea katika seli za matiti. Baada ya Saratani ya Ngozi, Saratani ya matiti ndiyo Saratani inayojulikana zaidi hugunduliwa kwa wanawake Mara nyingi. Saratani yaÂ
Soma Zaidi...Kazi ya kongosho na athari za ugonjwa wa kisukari.
Kongosho ni kiungo muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na udhibiti wa homoni mwilini. Ugonjwa wa kisukari hutokea pale kongosho inaposhindwa kufanya kazi zake ipasavyo, hasa katika uzalishaji wa insulini. Makala hii inachunguza kwa kina kazi za kongosho, uhusiano wake na ugonjwa wa kisukari, athari za muda mrefu za ugonjwa huu, na mbinu za kitaalamu za kuzuia na kudhibiti hali hii ili kulinda afya ya kongosho na mwili kwa ujumla.
Soma Zaidi...Kwa nini kung’atwa na mbu hakuambukizi UKIMWI?
Ingawa mbu hunyonya damu kwa binadamu, hawana uwezo wa kueneza virusi vya UKIMWI (VVU). Sababu ni kwamba virusi vya VVU haviwezi kuishi wala kuzaliana ndani ya mwili wa mbu, na pia mbu hawaingizi damu ya mtu mmoja kwa mwingine wanapong’ata.
Soma Zaidi...Dalili za UKIMWI huonekana baada ya muda gani
Hapa utajifunza muda mabao dalili za VVU na UKIMWI huonekana, na kwa muda gani mgonjwa ataishi na UKIMWI bila ya kutumia ARV
Soma Zaidi...