Msaada kwa wenye tonsils

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa wenye tonsils, kwa wale wenye tonsils wanapaswa kufanya yafuatayo ili kuweza kupambana na ugonjwa huu.

Msaada kwa wenye tonsils.

1.Kwanza kabisa Mgonjwa wa tonsils anakuwa na maumivu kwa hiyo tunapaswa kumpatia dawa ya maumivu ili aweze kupunguzwa maumivu ,dawa zenyewe ni kama vile Asprin na paracetamol kwa kufanya hivyo Mgonjwa atapata nafuu na matibabu mengine yatakuwa yanaendelea.

 

2. Pia unaweza kuchukua maji ya uvugu uvugu ukaweka chumvi na pia ukampatia Mgonjwa akasukutua kwenye sehemu ya tonsils na kwa kufanya hivyo anaweza kuua bakteria ambao wapo wanamsumbua Mgonjwa na nafuu inaweza kupatikana.

 

3. Pia kwa wenye tonsils zinazosababishwa na bakteria wanaweza kutumia antibiotics aina ya amoxicillin na ikishirikiana anatumia ciploflaxine na zote hizi zikishindikana anaweza kutumia sindano na pia dawa hizi zinapaswa kutumiwa kwa kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya sio kununua tu dukani pasipokuwa na utaalamu wa kutosha.

 

4.Kama nilivyokwosha tangulia kusema hapo mwanza kuwa tonsils zinazosababishwa na virus hazina dawa ni mpaka kumuandaa Mgonjwa kwa ajili ya upasuaji na Dalili zake ni pamoja na pua kutoa makamasi yenye  maji, matatizo kwenye kuona na kikohozi hizi ndizo dalili za tonsils ambazo usababishwa na virus.

 

5.Kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu kwa sababu usipotibiwa unaweza kuleta shida kwenye figo, kwenye Tishu nyingine za mwili kwa hiyo ni vizuri kabisa kutafuta tiba kulingana na chanzo cha ugonjwa



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/22/Tuesday - 01:58:56 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1245


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-